Wapi naweza pata mkopo wa vitu kama redio,simu nk

Wapi naweza pata mkopo wa vitu kama redio,simu nk

mtanzania10

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
271
Reaction score
81
Mimi ni mtumishi wa serikali nipo kigoma.kama kuna duka au mahali naweza pata vitu kama simu,redio,tv na kulipa taratibu.kama sehemu hiyo ipo kwa kigoma naomba mnijuze
 
Mambo ya credit cards hayo....
Ngoja ntaifatilia hii thread nione imefikia wapi
 
ni pm namba yako tuwasiliane

Are u serious ?????
Yaaani wewe ndo unashida halafu unataka mtu akupm no.
We mfata pm bana acha uvivu na ujieleze vizuri kuwa unakopesheka na utaliipaje.
Mie ntakuwa mdhamini wako.
Cc Baba V
 
Last edited by a moderator:
Nenda pale Kibo boys, chini ya Lake Views hotel waambie shida yako yupo jamaa anaitwa Andrea.
 
Kiukweli hata mie nipo tayari kwani nina sm ya laki 980,000/=&b . Nina computer ya 860,000/=&radio ya 3,800,000/=naamini naweza kupata mtaji wa mil 8000,000/=mil@J e nami naweza? Kupata mkopo wadau nisaidieni Jamani tafadhslini...
 
Jamani nami nahitaji anaekopesha simu na laptop jamani sina uwezo wa kulipa cash ila kidogo kidogo naweza.
 
Back
Top Bottom