Wapi naweza pata mashine ya kutengeneza juice ya miwa?

Wapi naweza pata mashine ya kutengeneza juice ya miwa?

mwaqsirjr058

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
10
Reaction score
0
Kwa anayejua naomba kufahamishwa bei ya machine ya kukamulia miwa na zinapatikana wap kwa dsm
 
Mojawapo kati ya hizo machine.. itategemea bei yake..ndo maana nataka nijue bei ili nijue ninunue ip
kama upo dsm na utahitaji ya mkono tuwasiliane, yangu nauza 250,000/ kwa sababu nimekosa kijana mzuri wa kazi na mimi nipo tait sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom