Wapi naweza pata Korosho kwa bei ya jumla?

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Habar wana jukwaa ni sehem gani nawez pata korosho za jumla ambazo zimeshatengenezwa mimi nipo dar
 
Kilo ambazo hazijabanguliwa zilikua 3600 last season ila ukitaka kuzipata nenda na biashara kule,,unabadilishana kwa korosho
 
Habar wana jukwaa ni sehem gani nawez pata korosho za jumla ambazo zimeshatengenezwa mimi nipo dar
Acha ukilaza. Nenda wanapouza korosho kama ni super market nunua pakiti moja. Kwenye ile pakiti utakuta namba za wazalishaji. Ukiwapigia watakupa maelekezo zaidi...
 
Acha ukilaza. Nenda wanapouza korosho kama ni super market nunua pakiti moja. Kwenye ile pakiti utakuta namba za wazalishaji. Ukiwapigia watakupa maelekezo zaidi...
Sasa huoni kama wewe ndo kilaza wale hawawezi kukupa contact za wanapo nunua mana utaingia kwenye ushindani na wao sokoni
 
Korosho bei ipo Juu kuna sehemu Mtwara Kitangali wanauza 17 so kama upo interested niambie ila pia nijue kiasi gani unataka.
 
Sasa huoni kama wewe ndo kilaza wale hawawezi kukupa contact za wanapo nunua mana utaingia kwenye ushindani na wao sokoni
Wewee ndio kilaza zaidi. Hivi ushawahi kununua korosho kweli? Ni sawa na unaponunua maji ya uhai, utakuta kuna cotacts za Azam, na korosho pia. Ukinunua kwenye ile pakiti utakuta kuna namba za wanaofungasha...
 
Korosho nzuri ziko Mtwara au Lindi.. na ni ghali sana.. Kuna za aina mbali mbali.. zilizookwa locally, zilizookwa kutoka kiwandani na zile za kukaanga local zote ni zile zilizobanguliwa.. pia kuna baadhi hukaanga kwa mafuta ya kupikia na huwekwa chumvi kidogo.. hizi ni ghali zaidi.. kwa kifupi ukiweza kuwa na mtaji wa kilo 150 za korosho na ukiwa na soko zuri basi kimaisha umetoka maana biashara inaingiza pesa sana..
 
Wewee ndio kilaza zaidi. Hivi ushawahi kununua korosho kweli? Ni sawa na unaponunua maji ya uhai, utakuta kuna cotacts za Azam, na korosho pia. Ukinunua kwenye ile pakiti utakuta kuna namba za wanaofungasha...
We ndo mburula kabisa sasa unadhani zile contact ni za kukupa trade mark zao zile zipo ili uweze kuwasiliana nao kama utahitaji bidhaa zao

But am sorry for this insult
 
We ndo mburula kabisa sasa unadhani zile contact ni za kukupa trade mark zao zile zipo ili uweze kuwasiliana nao kama utahitaji bidhaa zao

But am sorry for this insult
Kama unataka nenda kiwandani kabsa na mzigo unachukua kiasi gani nenda pae export trade mtwara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom