Mkuu zinapatikana kwa sasaKorosho nzuri ziko Mtwara au Lindi.. na ni ghali sana.. Kuna za aina mbali mbali.. zilizookwa locally, zilizookwa kutoka kiwandani na zile za kukaanga local zote ni zile zilizobanguliwa.. pia kuna baadhi hukaanga kwa mafuta ya kupikia na huwekwa chumvi kidogo.. hizi ni ghali zaidi.. kwa kifupi ukiweza kuwa na mtaji wa kilo 150 za korosho na ukiwa na soko zuri basi kimaisha umetoka maana biashara inaingiza pesa sana..