Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 453
- 1,410
Habari zenu Wakuu,
Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.
Napatikana Singida
Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg.
Napatikana Singida

inaitwa chokaa mazao inatumika kupunguza acid kwenye udongo. Tanzania kuna viwanda viwili vya kuzalisha na kusambaza hiyo chokaa. Kuna kile cha Dodoma Cement Company Limited cha Mzee Nghumbi Baba Mkwe wangu. Mzee nampenda sana binti yako Ritha wakili msomi pia kuna kiwanda kingine pale Mbeya.