F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Oct 6, 2013 #1 msaada wana jf wapi naweza nunua mitungi ya gas,majiko ya gas,na vifaa vingine kwa wingi
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Oct 6, 2013 Thread starter #2 nahitaji mitungi ya hizo company kwa yoyote mwenye kuuza
Kingo JF-Expert Member Joined May 12, 2009 Posts 856 Reaction score 396 Oct 6, 2013 #3 Ungefafanua zaidi tangazo lako ili usaidiwe, liko too general! Mitungi mingapi, bei ya jumla au rejareja nawe ukauze, mahali ulipo... nk.
Ungefafanua zaidi tangazo lako ili usaidiwe, liko too general! Mitungi mingapi, bei ya jumla au rejareja nawe ukauze, mahali ulipo... nk.
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 322 Oct 6, 2013 Thread starter #4 nataka mitungi mingi hadi 10 kwa bei ya jumla
Serendipity JF-Expert Member Joined Jan 24, 2009 Posts 486 Reaction score 45 Oct 6, 2013 #5 Ninao mtungi wa alfa gesi bei elfu sabini
P Prime Dynamics JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 551 Reaction score 251 Oct 8, 2013 #6 Mkuu, unaitaji mitungi ya kampuni gani? Je unaitaji ikiwa empty au ikiwa gas?
faby JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 2,214 Reaction score 768 Nov 3, 2013 #7 Serendipity said: Ninao mtungi wa alfa gesi bei elfu sabini Click to expand... Nikupe 5000 elfu 5? 3000 nunua mboga 2000 mpe mkeo! Unasemaje nije kununua?
Serendipity said: Ninao mtungi wa alfa gesi bei elfu sabini Click to expand... Nikupe 5000 elfu 5? 3000 nunua mboga 2000 mpe mkeo! Unasemaje nije kununua?