Wapi naweza kupata vitoto vya ngurumwe Jijini Arusha?

Wapi naweza kupata vitoto vya ngurumwe Jijini Arusha?

True Lover

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
32
Reaction score
47
Wakuu habari za humu!

Naombeni msaada kama kuna mtu anayejua sehemu ambayo naweza kupata vitoto vya nguruwe wa kisasa/vifaranga kwa Arusha.

Nina mpango wa kuanza na idadi ya 25 halafu baada ya miezi miwili nitachukua tena 20. Bajeti yangu kwa kitoto kimoja ni elfu 50.

Nimeenda pale LITI TENGERU hawana idadi ninayohitaji kwa sasa. Kama kuna anaefahamu sehemu nyingine naomba anifahamishe
 
Mkuu ongeza ongeza burget maan penye chkul hutakaa uamini mkuu
 
Kila la kheri mkuu, mi nimetafuta nguruwe wa kisasa huku mbeya nimekosa kabisa hadi nimeamua nichukue hawa hawa wa kawaida.
 
Back
Top Bottom