Sipajui jina vizuri ila ni karibu na Central Police Posta.Habari zenu wana jamiiforum,Leo jioni ninataraji kutaka kusafiri kwa kutumia usafiri wa tren kwenda Moshi,Je ni wapi hapa Dar naweza kupata tiketi,Na pia wakati wa kupanda treni nitapandia wapi,Na zipi kero na raha zilizopo ndani ya Treni,Maoni yenu muhimu ni muhimu sana
Inashangaza sana tunakuwa na treni halafu ukataji wa ticket haujawekwa mitandaoni au kwenye vituo kila mahali. Hatujui kufanya biashara na rasilimali zetu ndio maana reli zilikufa.Habari zenu wana jamiiforum,
Leo jioni ninataraji kutaka kusafiri kwa kutumia usafiri wa tren kwenda Moshi. Je, ni wapi hapa Dar naweza kupata tiketi,Na pia wakati wa kupanda treni nitapandia wapii na zipi kero na raha zilizopo ndani ya Treni,Maoni yenu muhimu ni muhimu sana
Mkuu nyoosha maelezo ueleweke vizuri, unataka kufanya nini ili jukwaa hili liwe msaada kwako.Leo jioni ninataraji kutaka kusafiri kwa kutumia usafiri wa tren kwenda Moshi.
Nataka kusafiri na treni kwa iyo nimeingia kwenye website hakuna maelezo yoyote yale mfano vituo vya kukatia tiketi na jinsi ya upandaji wa ndani ya treniMkuu nyoosha maelezo ueleweke vizuri, unataka kufanya nini ili jukwaa hili liwe msaada kwako.
Yaani wana mambo ya kiswahili sana hao Trc,mie nilitegemea ukiingia kwenye mtandao ingekuwa unakata tiketi kwa njia ya Online lakini wapi halafu ndio wanategemea kuliendesha shirika kwa ufanisi yaani waswahili sanaInashangaza sana tunakuwa na treni halafu ukataji wa ticket haujawekwa mitandaoni au kwenye vituo kila mahali. Hatujui kufanya biashara na rasilimali zetu ndio maana reli zilikufa.
Acha uongo wewe unataka kusafiri jioni ila hujui utapata vipi wabongo banaHabari zenu wana jamiiforum,
Leo jioni ninataraji kutaka kusafiri kwa kutumia usafiri wa tren kwenda Moshi. Je, ni wapi hapa Dar naweza kupata tiketi,Na pia wakati wa kupanda treni nitapandia wapii na zipi kero na raha zilizopo ndani ya Treni,Maoni yenu muhimu ni muhimu sana
Kawaambie TRC Mimi nilichofanya ni kumuelekeza mtoa post, sasa ukini Quote na kuniuliza kama sioni usumbufu sijui unataka nikujibu niniHuoni hapo kama usumbufu,Hayo maelezo walitakiwa kuyaweka mtandaoni,
Usitegemee sana humu inaweza kufika jioni bila kupata maelekezo wapi ilipo station ya treni..
Siyo mwenyeji sana Dar ila jaribu kupanda treni la Pugu uone litakupeleka wapi.
Inashangaza sana tunakuwa na treni halafu ukataji wa ticket haujawekwa mitandaoni au kwenye vituo kila mahali. Hatujui kufanya biashara na rasilimali zetu ndio maana reli zilikufa.
Nimekwambia nataka kusafiri na treni?Mkuu Kituo kikuu cha Railway hapa Dar kinafahamika, maeneo jirani na Posta ya zamani... Chukua taxi au boda boda unafika fasta..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana lolote kwenye website mkuu, bado wako kizamani kabisa, fanya tuu uende pale Railway upange foleni na mengine utajua huko huko...Nataka kusafiri na treni kwa iyo nimeingia kwenye website hakuna maelezo yoyote yale mfano vituo vya kukatia tiketi na jinsi ya upandaji wa ndani ya treni