Wapi naweza kupata tecno n7

Wapi naweza kupata tecno n7

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Habari waungwana,
Naomba msaada wenu, ni wapi naweza kupata simu TECNO N7 kwa Dar es Salaam.
Pia napenda kujua naweza kuipata kwa shilingi ngapi kwa sasa?
Nipo Ifakara, Morogoro.
 
Habari waungwana,
Naomba msaada wenu, ni wapi naweza kupata simu TECNO N7 kwa Dar es Salaam.
Pia napenda kujua naweza kuipata kwa shilingi ngapi kwa sasa?
Nipo Ifakara, Morogoro.

mkuu kama una 320 tufanye biashara. mpya kabsa. na kama unahitaji nyng tutakupunguzia
 
Mimi nauza cm ninachoweza kukusaidia mahali ninapo nunua jumla wanauza laki280,000 na rejareja wanauza 320,000 kama uko dar tuwasiliane, 0773 944 944
 
Back
Top Bottom