Wapi naweza kupata soda za kopo?!

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,626
Habari wadau. Nahitaji hizi soda za take away ila ya Cans na sio hIzo chupa za plastic.

Wapi naweza Pata kwa bei ya jumla ya katoni?!
images%20(13).jpg
 
Kuna duka moja mlimani city nilikuwa nanunua cocacola ya kopo imeandikwa kiarabu ilikuwa tamu sana
 
Back
Top Bottom