wilber historic
Member
- Sep 28, 2016
- 29
- 12
Wapi naweza kupata pro evolution soccer 2017 ni idownload katika pc yangu icore 5 4gb ram 512mb graphics card
Anhaaa thanks chief mkwawa.....wanasubiri iuze kwanza ....au....hua inatoka baada ya mda flan....km 16 walivyofanyabado haijatoka
mkuu siku ikipatikana itatoka huwa hawasubirii iuze. sababu watengeneza game na watengeneza crack hawana mahusianoAnhaaa thanks chief mkwawa.....wanasubiri iuze kwanza ....au....hua inatoka baada ya mda flan....km 16 walivyofanya
pengine isitoke mwaka huu, maana FIFA LA mwaka Jana hadi Leo halina crackna mimi naisubiri. inatoka lini?
pengine isitoke mwaka huu, maana FIFA LA mwaka Jana hadi Leo halina crack
yap hio naijua ila inarudi pale pale sio crack. hio security walioitumia kwenye FIFA 16 ndio nimeskia tetesi Imetumiwa kwenye pes 17.fifa 16 bypass method ipo. kuna video nliicheck youtube nkafanikiwa kubypass inaplay kwangu. fifa 16 bypass
asante kwa taarifa chief. naishusha. kuna single iso file nimeipata torrent ya 11GB ndo naidownload. hii multiple files inaweza kunipa tabu kusubiri mpaka moja imalize ndo niianzishe nyingine maana nkizirelease zote speed haitakuwa vizuri.feedback
game linafanya kazi
![]()
kwa wale wanaotaka kudownload link hizi around gb 11,
http://dl2.pesfa.com/pesfa/download pes/pes 2017/Pro.Evolution.Soccer.2017-CPY -[www.pesfa.com].part1.rar
http://dl2.pesfa.com/pesfa/download pes/pes 2017/Pro.Evolution.Soccer.2017-CPY -[www.pesfa.com].part2.rar
http://dl2.pesfa.com/pesfa/download pes/pes 2017/Pro.Evolution.Soccer.2017-CPY -[www.pesfa.com].part3.rar
http://dl2.pesfa.com/pesfa/download pes/pes 2017/Pro.Evolution.Soccer.2017-CPY -[www.pesfa.com].part4.rar
http://dl2.pesfa.com/pesfa/download pes/pes 2017/Pro.Evolution.Soccer.2017-CPY -[www.pesfa.com].part5.rar
http://dl2.pesfa.com/pesfa/download pes/pes 2017/Pro.Evolution.Soccer.2017-CPY -[www.pesfa.com].part6.rar
kama una idm highlight link zote right click then chagua download with idm, kifurushi vipo vya usiku kama airtel gb 10 kwa 600. tumia 7-zip au winrar kuunga hivyo vipande
password ni www.pesfa.com
huzirelease zote, ukieka queue idm inadownload moja baada ya nyengineasante kwa taarifa chief. naishusha. kuna single iso file nimeipata torrent ya 11GB ndo naidownload. hii multiple files inaweza kunipa tabu kusubiri mpaka moja imalize ndo niianzishe nyingine maana nkizirelease zote speed haitakuwa vizuri.
Wapi naweza kupata pro evolution soccer 2017 ni idownload katika pc yangu icore 5 4gb ram 512mb graphics card
Ntakujulisha nikifanikiwaView attachment 427463View attachment 427464
Ipo cracked ingia ovagames.com tena ni repack ina gb3 tu..nimeshusha leo mchana
Poa poaNtakujulisha nikifanikiwa