Wapi naweza kupata huduma ya Sauna katika Jiji la Dar?

Wapi naweza kupata huduma ya Sauna katika Jiji la Dar?

Samahani mkuu, bei zake zikoje
Huu muda unasubiri majibu jf ungekua ume google majibu ungeyapata in a minute.

Kwa haraka haraka najua Hyatt regency hotel, Jangwan sea breeze, Double tree hotel, Sunrise hotel (kigamboni) ila Mikocheni zipo nyingi sana, kuna ile The Rub Spa ipo Masaki (sijui kama bado inafanya kazi)
 
Back
Top Bottom