Wapi naweza kupata game hii!

Kayoka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
2,408
Reaction score
2,282
Wakuu niliwahi kuwa na game ya DRAFT kwa Laptop yangu ila kwa bahati mbaya nikaifuta lakini site ninoingia nashindwa kuidownload tena kwa pc yangu, je kuna yeyote humu ndani mwenye kuwa nayo humu nami anisidie!
Game yenyewe huwa inaonekana kama picha hapo chini ila jina limenitoka kidogo, nitashukuru kwa msaada wenu.
 
Hili game linankumbusha mbali aiseee...
Enzi hizo natumia desktop yeny RAM ya 256Mb na monitor ya chogo....
 
ivi kwa nn hamna linalofata rule kama tunazotumia uku bongo i.e hakuna kurud nyuma unless iwe kingi.... kama kuna mwenye nalo ilo please with all due respect share nime search sana google sijapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…