[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Dah.Hivi ni kwamba uzi wangu hamuuoni au mmeamua tu kuanza mwaka na kiburi na roho mbaya?
Nilishawahi kuikuta sehemu flani wakaniambia wameinunua GAMEYaani pamoja na mazagazaga yote tunayoleta, hakuna aliyekumbuka kuleta hizi meza mpaka niagize mwenyewe?
View attachment 1665592View attachment 1665606View attachment 1665607
Niliona mahali sijui nikudalalie 😂
Mkuu jaribu kuchek pale mlimani zinapatikanaHivi ni kwamba uzi wangu hamuuoni au mmeamua tu kuanza mwaka na kiburi na roho mbaya?
Mbao tena ndugu yangu? Mimi nataka iliyo rahisi kubeba na kuweka nyuma ya siti ya gari au kwenye buti. Nitakuwa natembea nayo sana kwa hiyo wepesi ni muhimu sana. Kwa hiyo ya plastiki ndiyo inafaa.Ukimpa fundi anakutengenezea kiulaini tu tena mbao unayotaka
Ni PM nikupe namba ya muuzaji.Duh! Ebwana eeeh! Embu nifanyie udalali ila si unajua hela za mwaka jana tumezimaliza zote juzi na hii bado january!
Iko poa sana hii.
Kwahiyo ya mbao hutaki hata kama inajikunja?Mbao tena ndugu yangu? Mimi nataka iliyo rahisi kubeba na kuweka nyuma ya siti ya gari au kwenye buti. Nitakuwa natembea nayo sana kwa hiyo wepesi ni muhimu sana. Kwa hiyo ya plastiki ndiyo inafaa.
Kama ile ya kwenye picha au hiyo aliyopost mdau hapo juu ndiyo best.
Labda sijui ni mbao gani mnazoongelea. Mkisema mbao nawaza vitanda na makabati yetu yalivyo mazito na makubwa. Mimi nataka kitu ambacho kwanza kinachukua sehemu ndogo baada ya kuikunja na pia isiwe na uzito. Na bei iwe ndani ya bei nayoweza kumudu.Kwahiyo ya mbao hutaki hata kama inajikunja?
Hebu taja bei hapa nimeipendaNi PM nikupe namba ya muuzaji.