Wapi naweza kupata casio watch kama hizi?

DeepMedia

Member
Joined
Apr 23, 2019
Posts
30
Reaction score
6
Habari wakuu?
Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar?

1. Casio illuminator W-96H

2. Casio Telememo illuminator AW-81

Hizi zipo tofauti na zile casio za kawaida, kuna feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k

kwa mwenye nazo au anajua zinapatikana wapi naomba niPM.
 
Hizo Saa Ni Habari Nyingine, Saa Ni Nzuri Sana
 
Attachments

  • 20190526_212253.jpg
    237.1 KB · Views: 64
wapi nazipata mkuu? hata hiyo yako inaonekana iko vizuri sana. ni model gani?
wapi nazipata mkuu? hata hiyo yako inaonekana iko vizuri sana. ni model gani?
CASIO F - 200
Nilinunua Zanzibar Hapa Dar es salaam
Nilitembelea Maduka Mengi Sana Unakuta Model Tofauti

Kulikuwa Na Maonyesho Ya Syria Diamond Jubilee
Casio Zilikuwa Nyingi Lakini Model Uliyoiweka Wewe Ama Hii Niliyonayo Hazikuwepo
 
Ulinunua Bei gani mkuu?
CASIO F - 200
Nilinunua Zanzibar Hapa Dar es salaam
Nilitembelea Maduka Mengi Sana Unakuta Model Tofauti

Kulikuwa Na Maonyesho Ya Syria Diamond Jubilee
Casio Zilikuwa Nyingi Lakini Model Uliyoiweka Wewe Ama Hii Niliyonayo Hazikuwepo
 
Habari wakuu?
Wapi naweza kupata casio watch za model hii kwa hapa Dar?

1. Casio illuminator W-96H
View attachment 1108721
.......

Nilipoiona hii thread nikaona ngoja niangalie saa zangu, Casio ya mwanzo ilishakatika mkanda mmoja ikiwa na miaka 4. Nyingine kama hii nakuta nayo imekatika mkanda mmoja, hii ina miaka kama 3, ni za kutupa.

Hapa Dar baadhi ya maduka yenye saa utaweza kupata.
 
Nilipoiona hii thread nikaona ngoja niangalie saa zangu, Casio ya mwanzo ilishakatika mkanda mmoja ikiwa na miaka 4. Nyingine kama hii nakuta nayo imekatika mkanda mmoja, hii ina miaka kama 3, ni za kutupa.
CASIO Za Ukweli Changamoto Ya Mikanda Ipo
Nilikuwa Na Casio F-200 Ilikaa Miaka 7 Bila Kubadilishwa Battery
Mikanda Ndiyo Ikawa Inakatika
 
Shukran mkuu, ila hiyo uliyoweka hapo ni SKMEI. mimi natafuta casio W-96H. feature ya telememo ndani yake. inaweza kustore records kidogo, contacts. ina dual time, timer n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…