MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,261 Reaction score 2,741 Nov 17, 2023 #1 Wakuu habari za kutwa, Samahani naomba mwenye uelewa anisaidie.Kati ya vingunguti,Pugu na Madizini wapi ninaweza kunununua mbuzi (1) tu kwa bei nafuu zaidi? Na kwa sasa bei ya mbuzi ni wastani wa shilingi ngapi? Asanteni.
Wakuu habari za kutwa, Samahani naomba mwenye uelewa anisaidie.Kati ya vingunguti,Pugu na Madizini wapi ninaweza kunununua mbuzi (1) tu kwa bei nafuu zaidi? Na kwa sasa bei ya mbuzi ni wastani wa shilingi ngapi? Asanteni.
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,624 Nov 17, 2023 #2 naona bei hazijatofautiana sana,palipo karibu yako uende ukanunue,bei inacheza kazi ya 70 hadi 150
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,950 Reaction score 8,919 Nov 17, 2023 #3 Pugu ni mnadani ila mshikemshike hauiwezi plus usafiri ni yaleyale Kama mdau anavyosema angalia ukaribu wa sehemu ulipo ili umbali wa usafiri uwe nafuu
Pugu ni mnadani ila mshikemshike hauiwezi plus usafiri ni yaleyale Kama mdau anavyosema angalia ukaribu wa sehemu ulipo ili umbali wa usafiri uwe nafuu
MUSIGAJI JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 2,261 Reaction score 2,741 Nov 17, 2023 Thread starter #4 Hajto said: naona bei hazijatofautiana sana,palipo karibu yako uende ukanunue,bei inacheza kazi ya 70 hadi 150 Click to expand... Shukrani sana mkuu.
Hajto said: naona bei hazijatofautiana sana,palipo karibu yako uende ukanunue,bei inacheza kazi ya 70 hadi 150 Click to expand... Shukrani sana mkuu.