Mavura255 Member Joined Dec 27, 2015 Posts 17 Reaction score 6 Jan 7, 2016 #1 Habari zenu wana Jf hope mko poa mi ni kijana mwenye ndoto za kuja kuwa dj nipo dar es salaam sina uwezo wa kwenda chuo ila nina imani kuna academy mbali mbali wanafundisha u dj lakini sijui zimelocate wapi ninaomba msaada tafadhali
Habari zenu wana Jf hope mko poa mi ni kijana mwenye ndoto za kuja kuwa dj nipo dar es salaam sina uwezo wa kwenda chuo ila nina imani kuna academy mbali mbali wanafundisha u dj lakini sijui zimelocate wapi ninaomba msaada tafadhali
Kansigo JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 2,670 Reaction score 2,156 Jan 7, 2016 #2 Muulize dj mkuu mr mbowe yule mwenyekiti wa kudumu
M mkali G Member Joined Sep 2, 2015 Posts 61 Reaction score 5 Jan 7, 2016 #3 Daa academy kupta ngumu ila xx ungekuwa nauwezo ungeenda hpo kenya home boy wNgekufnya kuwa dj mafuvu
Daa academy kupta ngumu ila xx ungekuwa nauwezo ungeenda hpo kenya home boy wNgekufnya kuwa dj mafuvu
M massaiboi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 1,359 Reaction score 2,058 Jan 7, 2016 #4 Udj haufundishwi, ni mautundu na kipaji. Nunua mashine chezea nyumbani kwako, siku hizi kuna software nyingi tuu za computer ndizo wanatumia
Udj haufundishwi, ni mautundu na kipaji. Nunua mashine chezea nyumbani kwako, siku hizi kuna software nyingi tuu za computer ndizo wanatumia
Mavura255 Member Joined Dec 27, 2015 Posts 17 Reaction score 6 Jan 8, 2016 Thread starter #5 Kansigo said: Muulize dj mkuu mr mbowe yule mwenyekiti wa kudumu Click to expand... Duuh!! Ndo nani huyo??
Kansigo said: Muulize dj mkuu mr mbowe yule mwenyekiti wa kudumu Click to expand... Duuh!! Ndo nani huyo??
Mavura255 Member Joined Dec 27, 2015 Posts 17 Reaction score 6 Jan 8, 2016 Thread starter #6 massaiboi said: Udj haufundishwi, ni mautundu na kipaji. Nunua mashine chezea nyumbani kwako, siku hizi kuna software nyingi tuu za computer ndizo wanatumia Click to expand... Kwa unataka kuniambia nitafte softwere ya dj yoyote nikaweka_kwenye laptop yangu itakua fresh
massaiboi said: Udj haufundishwi, ni mautundu na kipaji. Nunua mashine chezea nyumbani kwako, siku hizi kuna software nyingi tuu za computer ndizo wanatumia Click to expand... Kwa unataka kuniambia nitafte softwere ya dj yoyote nikaweka_kwenye laptop yangu itakua fresh
Nje ya Mada JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,399 Reaction score 491 Jan 10, 2016 #7 Udj enzi hizo... Mwanaume anacheza na turn table tu.. Panga pangua.. Za mbele na za kibongo.. Bandika bandua.. Hip Hop na Bongo Flava. Wapi DJ BonnyLove
Udj enzi hizo... Mwanaume anacheza na turn table tu.. Panga pangua.. Za mbele na za kibongo.. Bandika bandua.. Hip Hop na Bongo Flava. Wapi DJ BonnyLove
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 Jan 11, 2016 #8 Kwanza inabdi upende mziki" mautundu yko tu utatoka cdhani kama kuna dj yoyote bongo hapa ambaye kasomea hyo kazi
Kwanza inabdi upende mziki" mautundu yko tu utatoka cdhani kama kuna dj yoyote bongo hapa ambaye kasomea hyo kazi