Kiruke cha Ibwe
Member
- Jun 26, 2009
- 67
- 13
Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi zaidi tafadhali nijulisheni wapi naeeza pata huduma hii

Short course za programming sizana kama zipo mitaani labda uende kwa Wahindi pale Learn It. Ila sidhani hiyo Pascal na C# zitakusaidia kufanya kitu cha maana kwa elimu ya Kibongo, Labda ungesema unataka kufanya nini then tukushauli language ya kusoma.
Correct kabisa Nyasiro. Tupo katika kufanya Kozi zetu bora zaidi!Hajasema C#, Kasema C++
BTW
Unaweza kuwasiliana na Stefano Mtangoo kupitia Hosanna Higher Technologies
Not true anymore kwa some courses, and in future it will not be true at all!Short course za programming sizana kama zipo mitaani labda uende kwa Wahindi pale Learn It. Ila sidhani hiyo Pascal na C# zitakusaidia kufanya kitu cha maana kwa elimu ya Kibongo, Labda ungesema unataka kufanya nini then tukushauli language ya kusoma.
C++ utapata kwetu. Tunahama Kimara (Tumeshafunga Ofisi pale) na baada ya haya kukamilika tutarejea na kozi hizi. Kwa sasa tunaendesha Kozi vyuoni na Wiki iliyopita Tumemaliza ngwe ya kwanza ya Java Language.Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi zaidi tafadhali nijulisheni wapi naeeza pata huduma hii
C utapata kwetu. Tunahama Kimara (Tumeshafunga Ofisi pale) na baada ya haya kukamilika tutarejea na kozi hizi. Kwa sasa tunaendesha Kozi vyuoni na Wiki iliyopita Tumemaliza ngwe ya kwanza ya Java Language.
Tutumie details zako email na simu ili kukuarifu muda ukifika: support@hosannahighertech.co.tz
Karibu sana na Shukrani wote mlioni-tag 🙂
Hapana hatujaanza QT (basically kwa sababu QT almost inafanya yaleyale ambayo wxWidgets inafanya). Ila kama unataka kujifunza QT unahitaji kusoma Foundations of C++ (C++ Language I) na Advanced C++. Baada ya hapo unaweza jifunza QT mwenyewe (kuna link ya vitabu ktk forum yetu, na tutorials pia including Videos). pia kwa kuuliza maswali ktk forum usipopaelewa. QT imeandikwa kwa C++ ingawa unaweza kutumia QML. So kwa QML inabidi ujifunze tena hiyo pseudo language. Videos ninazo ktk Disk in case ukizihitaji!mkuu vipi kuhusu C Programming with Qt mnayo hiyo progam, kama mnayo nishitue
Shukrani boss @c6Stefano Mtangoo umesomeka
C++ utapata kwetu. Tunahama Kimara (Tumeshafunga Ofisi pale) na baada ya haya kukamilika tutarejea na kozi hizi. Kwa sasa tunaendesha Kozi vyuoni na Wiki iliyopita Tumemaliza ngwe ya kwanza ya Java Language.
Tutumie details zako email na simu ili kukuarifu muda ukifika: support@hosannahighertech.co.tz
Karibu sana na Shukrani wote mlioni-tag 🙂
Kwa mda mrefu sasa natafuta sehemu ninapoweza pata kozi fupi ya kujifunza programming kwa ajili ya kazi Fulani. Nilikwisha soma kidogo Pascal programming nikiwa chuo ila ningependa kupata ujuzi zaidi tafadhali nijulisheni wapi naeeza pata huduma hii
Nitumie Email yako kwa PM. Kwa sasa kuna vitu tunaweka sawa na ile period ya ofa imeisha.Naomba kujua fee range pls. Niko interested. Thnx