Wapi naweza kugawa nguo kwa wahitaji?

Hakikisha umenyoosha na pasi vvizuri na umezikunja vyema.

Maana siku hizi vijijini hawataki nguo uliyokuwa umeivaa hata kama ana dhiki(japo sio wote)
 
Anika nje tu usizianue baada ya masaa kadhaa hakuna kitu "muhitaji "atakuwa keshazipitia na uuko bize mitaani akiwauzia wahitjai kwa gharama za uchukuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kanisa lolote la wasabato lililopo jirani na wewe, kuna huduma hiyo huwa ipo, peleke nguo zako mpe shemasi ama zipeleke kanisani moja kwa moja. Kuna kina mama wa dorcas huwa wanaenda kuzitoa mahospitalini na vituo vya watoto yatima na miji ya watu wasiojiweza. Hakika utabarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza na ndugu zako. Charity begins at home!
 
Peleka kwa mchungaji wa kanisa lililopo ndani ya hospitali ya Taifa Mhimbili, huwa wanagawa kwa wagonjwa wasio na ndugu-Ubarikiwe sana
 
Mkwajuni kinondoni kuna kituo cha wahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani imeingiliwa..nilitegemea majibu ya maana ili hata wengine tujue wanaohitaji msaada

Jf imeshakuwa ya underage

Mods nao wanawachekea watu wanaondika upuuzi kwenye mada za muhimu!!
 
Upo dunia ya ngapi mkuu!?kama ni ya tatu sahau[emoji23]

Sent by Diaspora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…