Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,054
- 4,114
Nina pesa hizi mbili za zamani nahitaji kubadili Kwa picha hizi chini
BOT asbuh kabla ya saa5 ... Maana baaada ya hapo ofisi zinafungwa.Nina pesa hizi mbili za zamani nahitaji kubadili Kwa picha hizi chini
View attachment 1529231View attachment 1529232
Hata Mimi sifahamu wanabadilisha Kwa rate ganiWabadilisha kwa rate gani?
Nahitaji kwa ajili ya kumbukumbu
BOT asbuh kabla ya saa5 ... Maana baaada ya hapo ofisi zinafungwa.
Elfu Moja zipo 28Unazo kiasi gani na unapenda ulipwe kiasi gani?
Elfu Moja zipo 28
Elfu tano zipo 4
NauzaHizi tulishazichoma moto ili kukata mzunguko wake.
Nazitaka hizo bukubuku.
Nicheki6000 tu au unazo zaidi? Mimi nahitaji niweke kwaajili ya kumbukumbu
Nipo mkoaniUpo wapi mkuu
Mkoani ipo nchi gani mkuu?Nipo mkoani
Nipo iringaMkoani ipo nchi gani mkuu?
kuwa makini braza na ulikozipata usije ukawa unajichimbia kaburi, kuna fedha ziliibiwa benki kitambo na watu wametunza tu serial number. Take careNina pesa hizi mbili za zamani nahitaji kubadili Kwa picha hizi chini
View attachment 1529231View attachment 1529232