Wapi naweza ku-edit pdf file?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Kichwa cha habari chahusika.

Msaada tafadhali

Asanten
 
Chukua hiyo kazi yako toka pdf kaipest kwenye word.hapo ndo uanze kuedit.cjui km nimekujib swali lako.
 
Chukua hiyo kazi yako toka pdf kaipest kwenye word.hapo ndo uanze kuedit.cjui km nimekujib swali lako.
Haiwezekani. Pdf si unajua maneno yanakua kama yameganda. Huyawez kuyagandua hata kidogo.
 
Kama hakuna protection unaweza kuyakopi, n then ku paste kwenye doc
 
Tafuta program ya nitro pdf prof
Hii inaweza kubadili doc.
Word to pdf
Pdf to word.
 
Google PDF TO WORD convertor ...na kasoftware kadogo tu... Kama kazi iko kwenye word!
 
Latest version ni acrobat xi. Unaweza convert to word bila kupoteza format, edijt your .doc file kisha irudishe kama pdf tena. Tembelea adobe download page
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…