Kama una nafasi naomba tembelea pale baraza la sanaa Tanzania BASATA eneo la Ilala Shariff Shamba, huwa wanaendesha kozi fupi za upigaji wa kinanda\piano kuanzia miezi mitatu mpaka sita kwa gharama nafuu kabisa..kuna wazee wataalamu sana pale katika mambo hayo! Usiache karama uliyonayo ipotee mkuu...kipaji kinalipa!