Wapi naweza fanya field za ICT bachelor level

May 14, 2016
54
19
Habari zenu wakuu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ICT kwa Dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya Arusha.

Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.
 
Habari zenu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ict kwa dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya arusha. Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Njoo pm
 
Kasafishe kwanza kitanda "maana umejitanabaisha kama binti Kikojozi
kisha ukimaliza ndipo urudi tena.

binti kikojozi Member
#1
Yesterday at 9:30 AM

Joined:May 14, 2016
Messages:16
Likes Received:7
Trophy Points:5
 
Habari zenu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa pili (bachelor) kozi ya ICT nataka kufahamu mashirika ama taasisi zinazotoa field ya ict kwa dar es salaam maana mwaka wa kwanza nilifanya arusha. Ningepata shirika lenye kiwango zaidi ili kuboresha taaluma yangu ingekuwa vyema zaidi. Naombeni ushauri wenu juu ya hili.

Unasoma chuo gani?
Je, unahitajika na chuo kufanya Field au ni wewe mwenyewe tu unatafuta?
Pia, kipindi gani (lini) field unahitajika/unapanga kuanza field na kwa muda gani?

Nasubiri majibu kwako.....
 
Back
Top Bottom