Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
Naelewa mwisho wa siku labda itanibidi niitoe hii mimba ila nahitaji kujua kama kuna njia yoyote ya kuweza kujua DNA ya mtoto kabla ya kuzaliwa, tayari najua blood group ya mume wangu na ya huyo mtu wangu wa nje, Je wanaweza kunichekia blood group ya mtoto bado akiwa tumboni wakaniambia ni yupi ndio baba?
Pendo
mnhhhh...hapo patamu dada yangu....mie nakushauri yafuatayo
1:- kama umesoma kidooogo biolojia sio lazma mtoto azaliwe akifanana 100% na baba yake(ndio maana baba na mama weusi tiii anatokea albino....vivyo hivyo baba mzungu mama mswahili hutokea pia mtoto mzungu...au baba akiwa mswahili mama mzungu akazaa mzungu inamaana mama amemegwa na wazungu wenzie?
2:- kibongobongo KITANDA HAKIZAI HARAMU....mzungu inabidi akubali matokeo...hata akija kupima dna baadae ajiandae kuwa baba mlezi
Hivi haya ndiyo maendeleo? Mtu anatutangazia umalaya wake na sisi hatuoni taabu. Tunaona kuwa ni mtu asiye na tatizo. Au ni kwa sababu hapa mtu haonekani sura yake? Hayo aliyotueleza angeweza kuyasema uso kwa uso kwenye hadhara ya watu? Mimi nasema changudoa siyo lazima ajianike mtaa wa Ohio. Na huyo ni changudoa. Lazima atoe mimba hili biashara isidode.Yaleyale ya wanawake kutotaka kujitegemea na kuwa magolikipa na kuishia kuolewa na wazungu ili waukate na kutakata. Sasa mama hilo tibwili unalo.
Hawa ndio wale ambao tukizungumzia kuhusu DNA wanakuja juu, je wadada mnasemaje? Mbona mnakaa kimya? Tafadhali, zungumzeni.
Huyo mtoto si wa mumeo na wala usitake kumuua kwa tamaa zako.
Dar-es-salaam hamna DNA, na hata kama ipo hawawezi kumpima mtoto ambaye hajazaliwa.
Colin Powell angekwambia "You break it, you own it"
Kama ulitaka ku jump around kwa nini ulikimbilia kuolewa? Au unatuona tusiotaka kuoa/ kuolewa wajinga?
Nachukia sana ninapoona watu wanataka heshima ya ndoa bila ya kutunza misingi yake.
Hypocrisy.
nipo mpenzi.....
umesema huyo dada kwao bukoba......
hapo sishangai kitu.