Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,501
- 6,900
Wadau naombe nahitaji miche ya miembe iliyoboreshwa nahitaji kupanda bagamoyo na mkuranga. nataka kampuni mahususi sio wale wa pembezon mwa barabara wanauza miche isiyo na ubora, asanten
Safi
BORA UNUNUE MBEGU ZAKE KULIKO HIYO MICHE ITAKUWA VYEMA NENDA BALTON CO. MIKOCHENI INDUSTRYWadau naombe nahitaji miche ya miembe iliyoboreshwa nahitaji kupanda bagamoyo na mkuranga. nataka kampuni mahususi sio wale wa pembezon mwa barabara wanauza miche isiyo na ubora, asanten
mWadau naombe nahitaji miche ya miembe iliyoboreshwa nahitaji kupanda bagamoyo na mkuranga. nataka kampuni mahususi sio wale wa pembezon mwa barabara wanauza miche isiyo na ubora, asanten
m
mkuu tuongee tukufanyie hiyo kazi sisi huwa tunapanda miti kwa tender maalum hivyo tufanye makubaliano tukuoteshee hiyo miti tunaanzia miti 2000 baadaya ya muda utakuja uchukue ni suala la mwezi mmoja tu!
BORA UNUNUE MBEGU ZAKE KULIKO HIYO MICHE ITAKUWA VYEMA NENDA BALTON CO. MIKOCHENI INDUSTRY
Sasa hii inakuwa kokwa za kisasa au kienyej??
Ungemtafutia zile embe za SUA ndio nzuri. Nenda Morogoro halafu nenda SUA Main Campus, ulizia miche ya maembe (You won't regret)