Wapi napata massage ya bei nafuu?

Wapi napata massage ya bei nafuu?

Wapi napata massage ya bei nafuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda sinza africasana, ukifika pale chepuka kama unaelekea ile njia ya mabatini, barabara ya pili mkono wa kushoto njia inayoingia mtaani kuna bango utaliona, hapo jengo lao ni nyumba nzima ni 30, 40 mpaka 50 nenda kauweke mwili timamu mkuu.hakika hutajutia

Ova
 
Tatizo liko hapo kwenye kutaka ya bei nafuu....bei nafuu ndio kiasi gani?? unataka massage tu? Zipo nyingi sana sana saaaaana
 
Back
Top Bottom