Wapi Lizzy...???

Huyooooooooooooooooooooo welcome back,welcome back welcome baaaaack,Ayo Lizzy how you doin'? You good?


www.azlyrics.com/lyrics/mae/welcomeback.html
Mi niko poa King...how is you?!

Alafu sherehe ya kunikaribisha bado bana...hapa nachungulia tu.
 
Hahahah...nyie watu hamjatulia kabisa!! Missed y'all much!!

Njooni kijijini basi tusaidiane kulima...?!

Unalima nini? Matango, Maboga, Maindi, Mchicha, Mtama, Viazi, Magimbi or? Nimekumic sana Lizzy!
 
Khaaa! we Nitty unataka hata nikiwa 'HONEYMOON' nihangaike na JF?!

Nilijua tu huyu baba mchungaji atakuwa amekutaiti kweli mpaka unakosa mda wa kuchungulia jf
 
Unalima nini? Matango, Maboga, Maindi, Mchicha, Mtama, Viazi, Magimbi or? Nimekumic sana Lizzy!

Mahindi na maharage Gagu!!

Alafu mwenyewe nimekukosa muda kweli...sijui ulikua umepotelea wapi.
 
Mimi nilikuambia ana wivu sana, sasa umepata je chance au kaenda kwenye maombi

Hahahaa Nitty atakuwa kaenda kwenye maombi kweli, afu yeye kasingizia tumbo linamuuma... Lol
 
Mwambie Jf never boring, welcome back Lizzy, missed you alot...

Hhmm sijui kama atanielewa. Kasema hata internet hamna tena kununua kwa pesa ya sadaka!!

Asante Mtali...missed you yoo!!!
 
Hahahah...nyie watu hamjatulia kabisa!! Missed y'all much!!

Njooni kijijini basi tusaidiane kulima...?!

mwaya karibu tena! Long tym no see.. Nkasema hicho kijiji cha wapi ambapo hakuna mtandao wowote unaofika ati!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…