Wapi kwa Dar hapa nitapata huu mkate ?

Me naona kuna mikate miwili pia so upi huo?maana huo mo1 utaupata bakery huo mwingine sasa labda CP Sirro alegeze kamba
 
daaaah ! vitu vyangu vivyoooooo yaani hapa mate tu mdomoni te te te te watu wameumbwa
 
Ila jamani tuache utani Mungu alitupa mtihani Mgumu saana!
 
Aisee wakuu hii kitu ya ku-fake bidhaa inauzwa au kinahitajika kitu then ukifungua unakutana na neema za Allah inatupa shida kidogo.duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…