Unataka wa kufuga?Nategemea kusafiri kwenda Morogoro kesho kwa shughuli ya kifamilia. Nitapenda kujua wapi naweza kupata mbuzi mzima Meeee?? Kama unao unauza njoo PM tufanye biashara
[emoji23] [emoji23] Dakawa kwa wamasai.Kesho mnada day wahi hapo.Nenda kesho mnadani Dakawa utapata mbuzi wazuri,andaa 120k kwa mbuzi mmoja mwenye ukubwa wa wastani,kutokea moro hadi hapo mnadani nauli ni Sh elf 2500,ni mwendo wa dk 45 kutokea moro mjini kuelekea huko,ni njia ya kuelekea Dodoma
[emoji23] [emoji23] Dakawa kwa wamasai.Kesho mnada day wahi hapo.
@Msiri. Nadhani mkuu hapo atazingatia hili. [emoji23] [emoji23] wamasai nao wamekua wajanja sikuhizi hadi wanapiga watu? au ni madalali wa pale mnadani?Hapo hapo mkuu,na,akitaka wengi pia namuunganishia ili wasimpige kwani mimi ndio eneo langu la kazi tena itakuwa njema sana kwani tutafahamiana kama members wa JF
@Msiri. Nadhani mkuu hapo atazingatia hili. [emoji23] [emoji23] wamasai nao wamekua wajanja sikuhizi hadi wanapiga watu? au ni madalali wa pale mnadani?
Anhaa, nashukuru kwa maelezo yako mkuu. Nimejifunza kitu hapa.Madalali hawakosenagi sehemu za biashara,ila kwa kuwa mm ni mtu wa Halmashauri,ndio msimamizi wa huo mnada,tupo wengi,kumsaidia asipigwe ni rahisi,wamasai siku hz wengi ni waungwana ingawa pia wakorofi wapo,ila kwa kuwa saikolojia yao tunaijua hawatusumbui,tunaenda nao vizuri tu mkuu
Anhaa, nashukuru kwa maelezo yako mkuu. Nimejifunza kitu hapa.
Mbuzi wa kula si wa kufuga. Bahati nzuri niliahirisha safari mpaka weekend hii. Niuzie huyo beberuUnataka wa kufuga?
Au umeagiziwa na mganga,baada ya kusikia ukaguzi wa vyeti feki umerudi tena?
Au unataka kwa ajili ya kisomo cha ndugu zetu waliotekwa na wasiojulikana?
Funguka mzee,baba nikupe beberu mwenye pumb. nne!
Ahsante kwa mrejesho. Hapo Moro mjini hakuna mfugaji ambaye atakuwa anauza mbuzi? Safari yangu sikufanya mpaka weekend hii inayokuja kwani mwenzangu ambay tungesafiri naye alipata udhuru.Nenda kesho mnadani Dakawa utapata mbuzi wazuri,andaa 120k kwa mbuzi mmoja mwenye ukubwa wa wastani,kutokea moro hadi hapo mnadani nauli ni Sh elf 2500,ni mwendo wa dk 45 kutokea moro mjini kuelekea huko,ni njia ya kuelekea Dodoma
Nataraji weekend hii kufika Moro na kama sitafanikiwa hapo mjini ntakuja Dakawa.Nenda kesho mnadani Dakawa utapata mbuzi wazuri,andaa 120k kwa mbuzi mmoja mwenye ukubwa wa wastani,kutokea moro hadi hapo mnadani nauli ni Sh elf 2500,ni mwendo wa dk 45 kutokea moro mjini kuelekea huko,ni njia ya kuelekea Dodoma
Nataraji weekend hii kufika Moro na kama sitafanikiwa hapo mjini ntakuja Dakawa.
Nataraji weekend hii kufika Moro na kama sitafanikiwa hapo mjini ntakuja Dakawa.
Aisee, nakushukuru sana kwa msaada wako.Hapa mjini kama unapajua shule ya msingi msamvu ilipo,jirani yake kuna mnada ambao kila siku mifugo inauzwa na kununuliwa,fika pale mkuu,hutakuwa na haja ya kwenda Dakawa tena