Habari za muda huu wakuu.
Je unafahamu ni wapi mchezo huu wa chess uchezwa?
Nataka nikutane na wenzangu tucheze mchezo huu.
Kama unafahamu ni wapi ulishaona watu wakicheza tufahamishane location na vitu kama hivyo.

Nakumbuka nkiwa chuo nlicheza sana Chess na wana, baada ya kumaliza chuo nakupoteana
Siku Hizi ni Full kucheza Online Kupitia chess.com
Karibuni sana kwa mlio interested GodfreyMsafiri ~ chess.com
Nakumbuka nkiwa chuo nlicheza sana Chess na wana, baada ya kumaliza chuo nakupoteana
Siku Hizi ni Full kucheza Online Kupitia chess.com
Karibuni sana kwa mlio interested
Natumia jina la GodfreyMsafiri
Karbu sana tupo wabongo wengi tu tunawakilisha Taifa.
Waweza cheza na mtu yeyote duniani
Ni free kujisajiri then bundle lako tu na inategemea umeweka option ipi ya time na opponent wako coz waweza cheza game moja na mtu hata week nzima.
Na waweza cheza na zaid ya mtu mmoja kutoka sehemu yeyote duniani at the same time