Ukienda Kigoma Warundi na Waganda na Warwanda wanaisomba sana, Wa Rwanda nasikia wanapeleka hadi Gaboni, Waganda wanachukua wana process wana peleka Sudani Kusini.
Kwa Bongo sana ni kama Chakula ingawa labda kwa kanda ya Ziwa ndo inaliwa sana,
Kwa wale wauzaji na wanunuzi wa mazao hasa kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini yenye gharama kubwa ya chakula Sasa unaweza pata nafaka za aina mbalimbali, chakula cha mifugo pia nafaka mbalimbali kwa bei halisi ya mkoani
Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na nasi katika group letu huwa tunapakia na kusafirisha hadi mkoa ulipo kwa bei ya mkoani na nafuu zaidi
Vyakula unavyoweza pata
1. Pumba za mahindi
2. Pumba za mpunga laini kwaajili ya nguruwe
3. Mashudu
4. Uduvi
5. Chakula cha kuchanganywa
6. Na vyakula vingine kwa order ya mteja husika kama uduvi, mahindi, chenga za dagaa, nk