Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 505
- 828
Wakuu Habari,
Nilikuwa nina kazi nataka niifanye na ni endelevu kidogo, sasa ningependa kufahamu ni wapi kwa Dar panakuwa na reliable and stable internet ambayo mtu unaweza ukafanya shughuli za mtandaoni kidogo.
Nilijaribu kuhotspot kwa simu, Gb zikawa zinakatika mpaka nashangaa
kama mtu anabugia. Na eneo nililopp hapa hamna fibers bado.
Nilijaribu Grano Coffee and Istanbul Restaurant kwakweli internet zao zilikuwa weak.
Nilikuwa nina kazi nataka niifanye na ni endelevu kidogo, sasa ningependa kufahamu ni wapi kwa Dar panakuwa na reliable and stable internet ambayo mtu unaweza ukafanya shughuli za mtandaoni kidogo.
Nilijaribu kuhotspot kwa simu, Gb zikawa zinakatika mpaka nashangaa
kama mtu anabugia. Na eneo nililopp hapa hamna fibers bado.Nilijaribu Grano Coffee and Istanbul Restaurant kwakweli internet zao zilikuwa weak.