Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Nataka kujua ni chimbo lipi naweza kupata nguo za dukani Kwa bei ya jumla jumla Kariakoo?
Daahh hv haya mashart kumbe bado yapo.... nakumbuka shule mtu ulikuwa unaonekana tozi sana ukivaa haya mashatiMimi pia nataka chimbo la kununua shati za shule zile tomato kwa bei ya jumla soksi pamoja na kalamu