emperor mo Member Joined Nov 9, 2014 Posts 41 Reaction score 6 Nov 26, 2014 #1 Jamani wadau wapi nitapata kazi ya kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili na vice-versa, au mahali ambapo ujuzi wa kifaransa unahitajika?
Jamani wadau wapi nitapata kazi ya kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili na vice-versa, au mahali ambapo ujuzi wa kifaransa unahitajika?
Interest JF-Expert Member Joined Apr 11, 2015 Posts 3,434 Reaction score 7,096 May 14, 2016 #2 emperor mo said: Jamani wadau wapi nitapata kazi ya kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili na vice-versa, au mahali ambapo ujuzi wa kifaransa unahitajika? Click to expand... Hivi mkuu ulifanikiwa? Kama bado, wasiliana na jamaa wa BAKITA. Kama upo Dar nenda ktk ofisi zao au Fika chuoni pale UDSM kwenye cha Masomo ya Lugha!
emperor mo said: Jamani wadau wapi nitapata kazi ya kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili na vice-versa, au mahali ambapo ujuzi wa kifaransa unahitajika? Click to expand... Hivi mkuu ulifanikiwa? Kama bado, wasiliana na jamaa wa BAKITA. Kama upo Dar nenda ktk ofisi zao au Fika chuoni pale UDSM kwenye cha Masomo ya Lugha!
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,405 May 14, 2016 #3 emperor mo said: Jamani wadau wapi nitapata kazi ya kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili na vice-versa, au mahali ambapo ujuzi wa kifaransa unahitajika? Click to expand... Kazi kama hizo maranyingi zinapatikana kwenye jumuia za kimataifa kama African Union.
emperor mo said: Jamani wadau wapi nitapata kazi ya kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili na vice-versa, au mahali ambapo ujuzi wa kifaransa unahitajika? Click to expand... Kazi kama hizo maranyingi zinapatikana kwenye jumuia za kimataifa kama African Union.