Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

Acha kutisha watu haya matusi yako wala hayana nafasi hata kidogo,uhalifu mfanye wenyewe then mjifanye mnahasira usituletee kisirani mkuu.
Uwezo wa kumtisha mtu huwa sina ndugu yangu!
Nilichofanya ni kujenga mazingira ya wazi kumwonesha mleta mada kwamba mada yake inajenga hisia kama hizo!
Haziepukiki, hazizuiliki!
 
Kwa ushabiki huo usio na maana watanzania tunapoteza mwelekeo. Sikutarajia mtu mwenye busara kuzungumzia intelligence aliyonayo Dr slaa na badala yake watanzania tungeungana kulaani ugaidi huo. Watanzania tuache kushabikia ujinga, huo utatugharimu wenyewe
 
Nikisema wale wenye Intelijensia ya juu kama US uwa wana panga wenyewe mashambulio nitakuwa nimekosea? same applies to CHADEMA.

If you say and believe in this then you are living on borrowed time and brains!
 


 
Hamy D ulitupa bomu ili kujaribu inteligensia ya DR? Polisi waifanyie kazi kauli yako.
 
Hamy D ulitupa bomu ili kujaribu intelijensia ya Dr.? Polisi ifanyieni kazi kauli ya huyu jamaa.
 

911 ya kule marekani ilitokeaje wakati wanA CIA na FBI?
 
Mi nafanya siasa Burudani na sio maisha. Siasa za bongo ukijifanya mkereketwa utaugua magonjwa ya moyo. Hapa hili bomu ni changa la macho tu, mnahudhunika hapa jf wanasiasa wanachias.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…