Wapi hapa wajameni.............

Hatujuwani

Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
51
Reaction score
10
Ni picha tu, Lakini sijui ni wapi hapa na hivi ni vinini vinavyoonekana?
Msaada jamani....................
 

Attachments

  • Photo0581.jpg
    50.5 KB · Views: 200
  • Photo0583.jpg
    48.4 KB · Views: 186
  • Photo0584.jpg
    19.7 KB · Views: 148
Hivyo vinavyoonekana ni viatu vya kutumbukiza
 
Hapo ni Mwanza Lake Victoria na hayo ni maboti pori
 
Photos from Bukoba,
likely were posted in Bukobakwetu blog(not 100% sure)
 
Hapo ni Ziwa Victoria maeneo ya Mwanza au Mara. Sio Bukoba kwakuwa hao ndege kule Bukoba hawapo na sijui kwanini hao ndege waligoma kuishi huko.
 
Hapo kaka ni ufukwe wa Bwawa la Mtera katika Kijiji cha Mlazo Wilaya ya Chamwino, Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…