Joeli JF-Expert Member Apr 25, 2011 4,941 3,402 Dec 1, 2012 #1 wapi Erickb52 mzee wa ndyofu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dumelambegu JF-Expert Member Jan 28, 2011 1,052 257 Dec 1, 2012 #2 Mmmhhh, kweli hizi ni siku za mwisho. Kila jambo linahusishwa na ngono.
NAPITA JF-Expert Member Apr 2, 2012 5,076 2,243 Dec 1, 2012 #4 hii yote ni kwa sababu watu wamesoma na wamekuwa watafiti wa mambo kweli nyerere akukosea aliposema lazima wananchi kusoma na haya ndo matokeo yake.
hii yote ni kwa sababu watu wamesoma na wamekuwa watafiti wa mambo kweli nyerere akukosea aliposema lazima wananchi kusoma na haya ndo matokeo yake.
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Dec 1, 2012 #5 Baba V said: Hapo penyewe sasa Click to expand... Baba V huyu dogo hajui utamu wa ndovu Hebu C6 fanya uje Arusha uonje ndofu za Mt Meru Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Hapo penyewe sasa Click to expand... Baba V huyu dogo hajui utamu wa ndovu Hebu C6 fanya uje Arusha uonje ndofu za Mt Meru
Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,658 13,485 Dec 1, 2012 #6 Dumelambegu said: Mmmhhh, kweli hizi ni siku za mwisho. Kila jambo linahusishwa na ngono. Click to expand... mkuu Dumelambegu huyu jogoo atavuka tarehe 25 ya mwezi huu!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dumelambegu said: Mmmhhh, kweli hizi ni siku za mwisho. Kila jambo linahusishwa na ngono. Click to expand... mkuu Dumelambegu huyu jogoo atavuka tarehe 25 ya mwezi huu!!