Wapi dsm wanauza simu original nokia c7 au huawei ?

Wapi dsm wanauza simu original nokia c7 au huawei ?

tusichoke

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
1,316
Reaction score
216
wakuu,naomba kwa anayefahamu eneo au duka lipi ninaweza kupata simu mpya nokia c7 au huawei honour zote zina kamera ya 8 mpixel
 
wakuu,naomba kwa anayefahamu eneo au duka lipi ninaweza kupata simu mpya nokia c7 au huawei honour zote zina kamera ya 8 mpixel
Kama unataka nokia c7 used mi ninayo bei ni laki 3 namba yangu ni 0713872828.
 
Kuna duka wanauza used mobile wanazo bei 300,000 nipm kama unashida
 
Kuna duka wanauza used mobile wanazo bei 300,000 nipm kama unashida

mkuu .... unasubiriwa kwenye ile thread yako ya kilimo cha machungwa kwa hoja ya mchungwa mmoja kuzaa machungwa 4,000 ... mbona umekimbia?

kumbe hata kwenye udalali wa simu upo pia
 
Nimeacha namba wenye shida na mm mashanipigia ww huna shida ndo mana hukunipigia
 
Huawei ni maduka ya Tigo,tatizo wa mezi lock,ungekuwa na mtu Nairobi zinauzwa kwenye maduka ya Safaricom,na ni unlock
 
Ni hizo c7 au huawei honour? Hata hivyo used sio hitajio langu kwa sasa bt nashukuru kwa wazo zuri
 
Hapa tz wanazo bt ni huawei ascend 200' je kwa kenya wanauza kiasi gani hiyo huawei honour
 
Back
Top Bottom