Wapi ( Dar) wanatoa mafunzo mafupi ya CERTIFIED ETHICAL HACKER ?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,475
Reaction score
3,538
Naomba msaaada kwa wajuzi wa hili ikiwezekana na muda wa mafunzo na ada
 
Nina full training video course ya certified ethical hacker tena ya cbt nuggets

Ina kila kitu unachohitaji kuwa ethical hacker, my price is 30,000

Kama uko interested call me on 0767659145 or 0787659145
 
Nahitaji na practical , video sio suluhisho
 
Mimi nimejaribu kufuatilia tutorials mbali mbali nikaamua kuinstall virtual box ili niinstall Kali Linux kupitia virtual box lakin mineshindwa yaan kila virtual box ninayo install inakuja na bit 32 wakati karnel ya Kali Linux inhabit 64 so nashindwa chakufanya mpaka sasa
 
mbon zipo za 64 unachagua ? Au imekosea kuchagua image ? Mi nimeinstall na inafanya kazi sema tu niko ,
 
Hawajaweka ada ingawa nimekuta ninachokihitaji ?
 
Mimi nimejaribu kufuatilia tutorials mbali mbali nikaamua kuinstall virtual box ili niinstall Kali Linux kupitia virtual box lakin mineshindwa yaan kila virtual box ninayo install inakuja na bit 32 wakati karnel ya Kali Linux inhabit 64 so nashindwa chakufanya mpaka sasa
Jaribu ku multboot
 
achana na vyuo vya uchochoroni nenda DIT, hutajutia
 
hi bro.
You can learn each and everything online.
try Udemy.com nahisi ethical hacking zinaanza $11 kama sijakosea.
Youtube kuna baadhi ya tutorials, like crash courses. ila if i were you ningeanza na udemy, eduonix etc...
 
Attachments

Back
Top Bottom