Wapi AshaDii?

Status
Not open for further replies.

Manumbu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
1,746
Reaction score
1,283
Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!
 
wa nasema ndo huyo wa juu yangu,ingawa nafsi yangu haikubali ivo
 
Watu wengine wambea kweli....
Kama mtu hayupo jamvini that means ana mambo yake mengine yanayomwondolea uwezo wa kuwepo humu ama kajipumzikia.
 
Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!

Yupo maternity leave

Mcheck kwa PM
 
Watu wengine wambea kweli....Kama mtu hayupo jamvini that means ana mambo yake mengine yanayomwondolea uwezo wa kuwepo humu ama kajipumzikia.
Labda apone uteja wa JF, au hujui kuwa hapa ni highly addictive?
 
Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!
Tofauti na JF kuna maisha mbele yake! Yupo na shughuri nyingine za kipato zaidi. Big up Ashadii, kikazi zaidi!
 
mtumie PM atapata e-mail alert
 
AshaD=FaizaFoxy!! So yupoyupo sana tu hapa!! Id zote 2 anazitumia!!
 
sinziga bila mungozo waMOD THIBITISHA KAULI YAKO,KUNAWEza kukawa na kaukweli mana iyo uliyosema inaitajwa xana humu jamvin
 
AshaD=FaizaFoxy!! So yupoyupo sana tu hapa!! Id zote 2 anazitumia!!

pamoja na kuwa ulisemalo linaweza kuwa kweli lkn nakiri kutokukubaliana nawe. AshaDii na FaizaFoxy ni watu tofauti kabisa. similarity zao ni hizo hijab tu. ukisoma contents za michango yao utagundua ni watu tofauti kabisa. labda kama ashadii anatumia ID nyingine lkn kwa faizafox nakataa. asha hebu rudi uweke mambo sawa
 
Tofauti na JF kuna maisha mbele yake! Yupo na shughuri nyingine za kipato zaidi. Big up Ashadii, kikazi zaidi!

pamoja na shughuli nyingine na of course bila kuathiri upatikanaji wa kipato, bado jamii ya hapa jamvini inauhitaji sana mchango'we. atuzukie basi japo haste haste ili nasi tuendelee kufaidika na michango yake!
 
Watu wengine wambea kweli....
Kama mtu hayupo jamvini that means ana mambo yake mengine yanayomwondolea uwezo wa kuwepo humu ama kajipumzikia.

pamoja na mambo mengine bado jamii yetu jamvini ikimkosa mwenza wao ni vizuri tujuzane kujuana kulikoni. inawezekana anaugua na anahitaji support yetu kama familia ya great thinkers. hata ww Lizzy ukipotea jamvini tutakutafuta, for a simple reason, you are amongst us! au alikuaga kuwa hatokuwa jamvini for a while?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…