Wapewa talaka kwa kuunga mkono CCM Zanzibar

Wapewa talaka kwa kuunga mkono CCM Zanzibar

Kudadadeek! Zenji aminia, safi sana. Tanganyika inabidi wakajifunze upinzani wa kweli Zenji.
 
Hao ndo wanaume wa shoka. Watu wanataka kuikomboa nchi yao toka kwa mkoloni mweusi, wao wanaweka vizingiti zingiti, tupa kuleee.
 
Si sawa mtu na mkewe kuwa tofauti ki mirengo. HUO NDIO UKWELI TENA MCHUNGU
 
inaonyesha jinsi chama cha cuf kisivyokua chama cha siasa cha kawaida. mbinu zao kupata uungwaji mkono ni za ubabe na sawa na ugaidi. kuna kila sababu ya kutoiamani cuf.
 
safi sana! mimi nilimwambia my wife wangu apige picha karatasi ya kura baada ya kupiga otherwise angerudi kwa taxi nyumbani!!! ha ha ha! it worked!
 
Huwezi kuishi na mtu ambaye interest zipo tofauti. Hahaaaa

Alafu una machungu ya kura kuibwa ye anashangilia ushindi mbele yako, hau Sharif anaelekea kushinda anasikitika,mara uchaguzi umefutwa anaanza kushangilia akiwa anakebehi kwa kusema hatuwapi nchi.
 
Kuna watu sio washabiki
mimi nisingekubali kuacha mke aiseee kwa ajili ya siasa. yaani niiache ile kitu hivi hivi iende kwa ajili ya siasa! awapi!
bila shaka hao walikuwa wanatafuta visababu tu na sio vinginevyo.
 
Hao vidume kama hawajapata wake wengine niwapatie dada zangu? Safi sana ndio dawa tu
# Algeria 7-0 Tanzania
 
mwanaume ndiye kiongozi wa famili na mara nyingi wanaume hasa zenji ndio waleta chakula nyumbani, sasa ikiwa hapo mwanamke unajikalia kula na unaleta mdomo lazma uisome.................hao wanawake wangepiga kura ccm kisha wakae kimya
 
Back
Top Bottom