Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Niliposema kuwa Maximo analeta watoto wa dada zake waje kuchezea Yanga kuna watu walitaman wanishike kooni na kuzia pumzi isitoke. leo mmeyaona. lakini sikuishia hapo. nlilaumu sana Yanga kuamua kucheza mpira kwenye Magazeti na yombo vya habari mbalimbali.Alipokuja Jaja magzeti yalimpamba sana hsa kwa lile Goal lake ikasemekana kuwa huyu ni Neymar mwingine na wengine wakamwita Messi. wakasema Goal lake linadhihirisha ni Mchezaji bora kabisa katika Tanzania hii.
nlisema hebu tumwache Jaja acheze...maskini hakuweza tena kucheza pamoja na Mjomba wake Maximo kujitahidi kumpanga kila mechi lakini bado hakuweza kufanya jambo lolote la maana. hatimaye akaondolewa kwa aibu. maximo hakukata tamaa akaenda tena kumchukua mtoto wa Dada yae Mkubwa Emerson aliyekuwa nacheza League Daraja la TANO huko kwao.
Akapokelewa kwa shangwe na ndelemo. amekuja kuonekana si lolote amwfukuzwa yeye na mjomba wake huku "KOTINYO" akipewa siku 90 awe na kiwango kinachoeleweka. Yanga imekuwa ni team ya watu wawili tu. Tajiri Manji na Mzee akilimali ambaye huwa naye anajinyenyekeza kwa manji isipokuwa kama ana lake jambo. kulikuwa na hadi nyingi sana alipoingia mheshimiwa Madarakani...hatujaona lolote la maana.
jambo hili limeleta mzozo sana jangwani wanachama wakilalamika kuwa huwa wanatumia nauli nyingi na kupoteza muda mwingi sana kwenda kuwapokea makocha na wachezaji mbalimbali ambao huondoka kimya kimya.... nani anakumbuka alipokuja maximo? alikuja kwa mbwembwe nyingi sana akiwa na wabrazili wenzake ambao si lolote ukiwalinganisha na akina Ngasa n.k
wanachama wengi wanadai wanahitaji kurudishiwa pesa zao walizotumia na kwenda kuwapokea wageni hao.
Naye Maximo amesema hatowashau SImba kwa jinsi ambavyo wamemdhalilisha, maximo alisema kuwa siku zote amekuwa wakiwaza jinsi gani ya Kuwafunga Simba na sasa wamesababisha akose ajira. alisema hatoweza kuwasahau Simba namna ambavyo wamesababisha aonekane si lolote si chochote. alizidi kuwaombea mabaya hasa kocha P.Phiri kuwa naye yamkute kama yaliyomkuta yeye.
maximo anasema alijitahid sana kwa tema yake ya Yanga lakini hakuwa na namna maana waliingia uwanjani wakijua kuwa wana Team bora kabisa hapa Tanzania. lakini haikuwa hivyo...tema yake ilionekana chovu na isiyo na malengo.akadai pia moja ya tatizo kubwa la yanga ni kuwa na wachezaji waliochoka na pia kupenda kuwachukua wachezaji toka simba ambao wengine wanakuwa tayari umri umeenda lakini kwa nia ya kuwakomoa Simba uongoz umekuwa ukilazimisha. hayo aliyaongea maximo akiwa katika hotel moja hapa dsm huku akipata juice na bites.