Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
uzee bongo wazee ndio wanaochukua vimwana mpaka wanaovatek vijana kunahaja gani ya kujifanya kijana wakati wazee ndio wanaoliliwa? kama hauamini muulize mshumbushi
Khaaaa shame on you jitu zima acha watoto wasome.. Tafuta saizi yako
Weee!!! Kuna tofauti kubwa kati ya mzee na kijana, wazee tunawahitaji kiuchumi tu, kwamba nikiteteleka kiuchumi nikimpigia sim ndani ni dakika katatua tatizo langu.
Vijana tunawahitaji kwa mengi, wanawake tunataka hata ukitoka na mtu wako
watu wageuze shingo waseme yap!!! Wanaendana.
Sio mambo haya:
au umekaa ki-CCM CCM?
Liangalie kiroho zaidi. Unaweza kuwa na spiritual wife aka jini mahaba ambae unapotaka kuingia kwenye mahusiano anaingilia kati. Hebu pitia kwenye maombi ucheki afya yako kiroho. Ni ushauri wa bure tu !!