Wapenzi wanaweza kukopeshana hela?

Mi mpnz wangu nikimkopesha huwa arudishi ila nikikopa kwake ananidai namrudishia ila uwa namwangalia kwa jicho la tatu na nilishaamua simkopeshi zaidi ya elfu kumi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kiboko hpo umemuweza haswa hta acpokulipa haiumi xana!!!
 
huwa ni lugha tu ya kukulainisha, kukopesha mpenzi ni umetoa hiyo
 
Mkuu umembahatisha tu anayejielewa, siku ukijaribu kwa mwingine, kwenye malipo itatokea 3rd WW!
 
Wanaweza kukopeshana lakini hawalipanagi!kwa hyo bora wasikopeshane!
 
Kuweka nidhamu ya hela na malengo yaliyoimara unaweza kumkopesha mpenz,mke,mume inawezakana kabsa na kuna kuwa na faida nying kuliko hasara
 
Kuweka nidhamu ya hela na malengo yaliyoimara unaweza kumkopesha mpenz,mke,mume inawezakana kabsa na kuna kuwa na faida nying kuliko hasara
Tupe hizo faida mkuu
 
Maswali mengine, utafikiri kuna kanuni ziliandikwa. Its all up to you two. Mnaweza au hamuwezi ni kutokana na maamuzi yenu. Mapenzi hayana kanuni.
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] mimi wife aliniambia nikopeshe 4m nikampa lakini akilini nilikuwa najua what will happen and ikatokea kweli. In short wapenzi/wanandoa hawakopeshani wanapeana OK!
 
[emoji26] [emoji26] [emoji26] mimi wife aliniambia nikopeshe 4m nikampa lakini akilini nilikuwa najua what will happen and ikatokea kweli. In short wapenzi/wanandoa hawakopeshani wanapeana OK!
OK
 
Mi nikishamkopa ndo imetoka hiyoo na huwa hadai.,naona kashaelewa..
 
Hapana... Hawakopeshani.. Wanapeana au kusaidiana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…