Pole sana mwitasaUsijaribu. Hiyo itakuwa ticket ya kuachana kama utamkopesha hela kubwa. Niliwahi kumkopesha wakwangu million mbili hakunirudishia na nilivyoona hana dalili za kunilipa nikaamua kuvunja mahusiano naye nikamtishia kumpeleka mahakamani.
kwa jeuri akanijibu kuwa niende kwa kuwa hatukuandikishana wala hakuwepo shahidi nikabaki naugulia maumivu pesa zimeenda na penzi limeota mbawa.
Hadi sasa ni mwaka wa tano tukikutana hakuna Cha salamu
Asante kiongoziPole sana mwitasa
Duh,wadada wengi
Wote walikua wapenz?
Sasa hivi unampango wa kukopesha tena mpenzi wako?
Ila inaonyesha wadada wagumu kurudisha hela mana humu wengi wanawalalamikiaMi mpnz wangu nikimkopesha huwa arudishi ila nikikopa kwake ananidai namrudishia ila uwa namwangalia kwa jicho la tatu na nilishaamua simkopeshi zaidi ya elfu kumi
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kukopeshana mnaweza sema mtihani unakuja kwenye kuidai hiyo fedha, maana kumdai mpenzi ni sawa na kumdai chizi muda wowote anaweza kukuchenchia usielewe cha kufanya! Hivyo kuwa makini bora ukipeshe pesa zako lakini usiingie mkopo kwenye vicoba or wherever ili umkopeshe mpenzi kimbembe cha kulipa kitakapoanza unaweza kujikuta umepoteza pesa na mapenz kwa Mara moja
Wanaamin pesa za wanaume zipo kwa ajir yao lakin za kwao zipo kwa ajir yao na familia zaoIla inaonyesha wadada wagumu kurudisha hela mana humu wengi wanawalalamikia
[emoji38]Mi mpnz wangu nikimkopesha huwa arudishi ila nikikopa kwake ananidai namrudishia ila uwa namwangalia kwa jicho la tatu na nilishaamua simkopeshi zaidi ya elfu kumi
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Mimi kwa sasa:
Demu akiniomba nimkopeshe elfu 10 namtizamaaa halafu nampa elfu 20 natulia zangu, simdai ma sitaki anilipe.
Ndugu/rafiki (wa karibu sana) akiniomba nimkopeshe elfu 10 nampa halafu namwambia usinilipe.
Mtu back akiniamnia nimkopeshe elfu 10 namwambia in short 'sifanyi biashara hiyo'.
Aisee neno MKOPO ni miongoni mwa maneno machache ambayo sitaki hata kuyasikia.
Sijawahi kumkopesha mtu halafu anilipe kwa amani, hadi tugombane. Sasa kugombana na mpenzi kisa hela duhh! bora nimpe tu.
Wengi siku hizi ni matapeli...hao wakija kwangu kukopa hua nawasaidia maana ukiwakopesha hawarudishi ng'o....ila Z hua kwakwel ni muaminifu sana. Akikopa anarudisha immediately.Wadada wote waliokopa kwangu hawajarudisha hata senti
SafiWengi siku hizi ni matapeli...hao wakija kwangu kukopa hua nawasaidia maana ukiwakopesha hawarudishi ng'o....ila Z hua kwakwel ni muaminifu sana. Akikopa anarudisha immediately.
Na kwakua ni msaada sizidishi zaidi ya laki moja...