Wapenzi wa Universally music tukutane hapa

Wapenzi wa Universally music tukutane hapa

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,389
Habari wanajamvi


Wale wanaojua au kufahamu app au apk ambayo ina aina zote za music hapa duniani tufahamishane

Mimi nina app ya SoundCloud ambayo ina miziki mingi ya kila aina ila ni ya audio na uzuri hutumia mbs chache na ile ya Boom play ambayo ina music mingi ila inatumia mbs nyingi na huhitaji strong network,nahitaji app nyingine ila itumie mbs chache kwa sababu vyuma vimekaza

Aliye na zingine tusaidiane ila napenda audio ,wale wapenzi wa ear phone tukiwa kwenye shughuli mbalimbali tunaburudika tupeane ujuzi
 
Spotify kila nikitafuta playstore inaniambia haipatikani TZ
 
Funga kazi ni tunein radio..utakutana na station kibao znapga kila aina ya mzik masaa 24
 
Back
Top Bottom