Wapenzi wa TIPWATIPWA Mpo?

mluga

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
676
Reaction score
215
Ha Ha Ha Ha no comment!!!!!! Indeed she is .......................
 

Attachments

  • no comment.jpg
    37.1 KB · Views: 1,585
Khaaa nimechefukwa kama nna ujawepesi:sick:
 
du! Huyu naye ana mpenzi?
 
Ha Ha Ha Ha no comment!!!!!! Indeed she is .......................
mluga kama hauna mtoto wa kike una mke kama hauna mke una dada kama hauna una shangazi kama hauna una mama aliyekuzaa wewe na nyanya zako waliowazaa wazazi wako tuombe radhi kwa kuweka bandiko hili la kudhalilisha wanawake .
nakulaumu kwa kulitoa huko lilipokuwa na kulileta hadharani
 
Nilikutana na tipwatipwa moja linatokea Zimbabwe kama hili,ila lenyewe limekaa vizuri na liko hot as hell...Kilichofuata,usiniulize...
 
Hili dude litakuwa maharage ya mbeya, alshalkhuum si matusi wandugu!!
 

kwani huko lilikokuwa lilikuwa halionekani?.
 
Sasa kama nimedhalilisha wanawake na huyu je si ni mwenzenu na mtanzania mwenzenu kaamua kkumwaga lazi haya mchukulie hatua sasa
 

Attachments

  • IreenU.jpg
    14.1 KB · Views: 917

Hii imetulia hata waweza toka naye kwa out! hiyo nyingine noma!
 
Dawa ya kumpunguza huo mwili huyo kibonge namba moja ni kumpa misukosuko tu. Mwili utapungua, sio kumnyima chakula. Na huyo namba mbili ana mvuto wa kimahaba, usipime!!
 
Huyo inabidi uwe physically fit vinginevyo unaweza kujikuta wewe ndio unakuwa badala ya yeye!!!
 
Kweli kuna wadada wanene zaidi ya huyu. Tatizo linakuja pale wanapoamua kutumia maumbile yao kama biashara na matangazo. Mdogo wangu ni mnene kuliko hata huyu lakini nguo anazovaa huwezi kugundua. Anapendeza tu. Jitu nene, alafu linavaa tight fupi fupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…