Wapenzi wa perfume tukutane hapa

oriflametz

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
47
Reaction score
12
Perfumes nzuri za kike na kiume ambazo zimewekwa kwenye seti maalum yenye kila kitu yaani sabuni, lotion, poda, aftershave balm kwa wanaume, perfume na spray. Ni nzuri kwani zinakupa harufu moja mwili mzima, sabuni yenye harufu sawa na lotion sawa na perfume yake. Ni nzuri kwa matumizi binafsi au kwa zawadi. Zinapatkana jumla 25000 kuanzia piece 10 na rejareja 28000.

Mikoani tunatuma.
 

Hiyo bei niya Mkebe mzima au item moja moja?
 
Unqpatikana wapi mkuu, nipo Dar nahitaji kuja kununua
 
Nataka Rajoe original nitapata wapi Kwa Dar jamani, naomba kuelekezwa
 
Naomba nisieleweke vibaya lakini napenda kujua kama hizo perfume ni original au ni copycats? Set nzima kwa 25,000 Tsh? Mbona rahisi sana? Zimetengenezwa wapi? I am just curious...
 
By experience nilishawahi kununua perfume za namna hii, kiukweli simshauri mtu bt you can try and experience on ur own ....
 
Nina moja inaitwa Pink suger yaani sijutii hata kidogo maana nikipaka hiyo kila nipitapo ""you smell so good" imekua kama wimbo wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…