Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Jamaa bahir sana yule...movie zake zote low budget...ndiomana anafel
makampuni ya ya filamu ya marekani yani figisu sana bila kutia mkono wao kwenye movie yako haifiki mbali we angali wachina wamehangaika weeh wenyewe wamerudi marekani
Ila mm nashindwa kuwaelewa nyie majamaa..
Shida ni scot au waandaaji Wa filamu husika?
Nachojua Production manager ndio wanaanda bajet scot he's just Actor
 
Ila mm nashindwa kuwaelewa nyie majamaa..
Shida ni scot au waandaaji Wa filamu husika?
Nachojua Production manager ndio wanaanda bajet scot he's just Actor
HATA WAANDAJI WENGI WA FILAMU AMBAZO NI SCOTT ANA ACT NI KAMPUNI ZA UINGEREZA NA WHY WANAPENDA KUMTUMIA SCOT KWA LOW BUDGET FILM
 
Iko Uwais yupo vizuri mazee japo Donnie Yen, Michael J White na Hata Scott Adkins they are still on a mainstream lakini huyu mshkaji ni moto wa kuotea mbali asee .Time will tell
 
Niliwahi kucheki movie yake moja anamwokoa msichana mmoja asiuzwe kahaba na matajiri fulani, kuna sehemu anakuja kubaini mshkaji wake aliyokutana naye kwenye basi akija mjini ni kibaraka wa maadui zake. Ngumi zikapigwa kwenye lift, ila mwishoni anauawa na huyo msichana anakuwa huru
 
Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
Mi mwenyewe namkubali Don yen bwana...
 
Picha za mapigano siku izi mtu yeyote anaweza kutokana na technology iliyopo
Mara nyingi casting inafanyika kutokana na umaarufu wa actor katika soko la filamu na uchaguzi wa waandaaji wa filamu ( Hollywood is the one who decided)
Actor kama Scot Adkins al maarufu kama Boyka ni mzuri sana kwenye mapigano kuwazidi hata wakina Jason Statham lakini kipindi chote alikuwa hajulikani ingawa ameshiriki muvi nyingi sana maarufu ambazo ukiambiwa huwezi kuamini kama yupo kwenye muvi izo maana ulikuwa umjui mpaka pale alipocheza Undisputed kama adui boyka ndipo alipotambulika na kuanza kua casted kama starring
So huyo Iko Uwais kwa sasa yuko vizuri ndio maana unamkuta katika muvi za A class actors (Hollywood) kama Mark Wahlberg hiyo 22 Miles
Kuna actors wakubwa wa Asia ambao walikuwa wanatamani sana Hollywood lakini hawakufanikiwa hivyo jamaa ndio wakati wake huu
Jason statham ni mpiganaj mzuri siwezi sema anamzidi Scott Adkins coz kila mmoja anachaguo lake Jason statham amejifunza mapigo ya kung fu and wushu na kutunukiwa cheti wapo na wengine wengi ambao mbali na muvi ni maisha yao halisi kina jet li,elodie young,Jackie Chan etc.
 
Aisee kuna ile kitu ya Ton Jaa ong bak 1 yani mapigo yake yana energy ya hatari.
That movie is really
 
Back
Top Bottom