Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,687
106,803
Salute..
Kwa wale wapenzi Wa muvi za mkongoto na ubabe basi jina LA Iko Uwais so ngeni sana kwenu.
images (2).jpg

Jamaa in mwigizaji kutoka Indonesia, anapiga karate hatare, mapigo Yale ya kuvunja vunja mifupa kama Tonny Jaa au Donie Yen. Kwa sasa naona hana mpinzani maana hao niliowataja washachuja kiuigizaji pia umri umeeenda.
images (4).jpg

Kama hujamcheki huyu jamaa naombeni muangapie muvi hizi basi mtakuja kuniunga mkono kua jamaa anajua
FB_IMG_1538862362157.jpg
FB_IMG_1538862540032.jpg
FB_IMG_1538862817125.jpg
FB_IMG_1538862624641.jpg
FB_IMG_1538862650255.jpg
FB_IMG_1538862789925.jpg
FB_IMG_1538862683508.jpg

Kama una roho nyepesi hupendi kuona watu wanavunjwa vunjwa usitizame..
Download hapa muvi za Iko Uwais..
>>>>> https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAgegQIAhAB&usg=AOvVaw0i2dz-Lk3iE4RCp7Pf_62X

Cc
Wick James Comey pamjela Mwamba028 Dominica Simeon miss IQ
 
Attachments

  • FB_IMG_1538862587267.jpg
    FB_IMG_1538862587267.jpg
    46.7 KB · Views: 102
Picha za mapigano siku izi mtu yeyote anaweza kutokana na technology iliyopo

Mara nyingi casting inafanyika kutokana na umaarufu wa actor katika soko la filamu na uchaguzi wa waandaaji wa filamu ( Hollywood is the one who decided)

Actor kama Scot Adkins al maarufu kama Boyka ni mzuri sana kwenye mapigano kuwazidi hata wakina Jason Statham lakini kipindi chote alikuwa hajulikani ingawa ameshiriki muvi nyingi sana maarufu ambazo ukiambiwa huwezi kuamini kama yupo kwenye muvi izo maana ulikuwa umjui mpaka pale alipocheza Undisputed kama adui boyka ndipo alipotambulika na kuanza kua casted kama starring

So huyo Iko Uwais kwa sasa yuko vizuri ndio maana unamkuta katika muvi za A class actors (Hollywood) kama Mark Wahlberg hiyo 22 Miles

Kuna actors wakubwa wa Asia ambao walikuwa wanatamani sana Hollywood lakini hawakufanikiwa hivyo jamaa ndio wakati wake huu
 
huyo kijana bado sana, hizo movies ukiangalia behind the scene anahangaika sana..
Hebu ingia youtube au google mtafute mjapani mmoja anaitwa Shin Koyamada ulete mrejesho
kaachia muv gan mkuu
 
mtoa mada ulipo weka the raid imenibidi kukubalianana wewe jamaa aweza kuwa mrithi wa hao wababe

ila kuna black mmoja nae ana ngumi tamu sana simkumbuki jina, kuna muvi moja aliigiza akiwa gerezani kama sikosei alitoa mkong'oto wa haja mule
Yupi? Michael J white? Hebu elezea hiyo muvi kidogo..
The raid Iko bomba sana nadhani ndio ilimpaisha zaidi
 
Kuna yule jamaa mwenye manywele kama chizi kwenye movies za Uwais. Jamaa ni mbishi sijapata ona kumuua ni zaidi ya jiwe kumtosa konda
Kanapiga vibaya haka kajamaa sijapata on a, niliona jau kuweka picha zake
 
Picha za mapigano siku izi mtu yeyote anaweza kutokana na technology iliyopo

Mara nyingi casting inafanyika kutokana na umaarufu wa actor katika soko la filamu na uchaguzi wa waandaaji wa filamu ( Hollywood is the one who decided)

Actor kama Scot Adkins al maarufu kama Boyka ni mzuri sana kwenye mapigano kuwazidi hata wakina Jason Statham lakini kipindi chote alikuwa hajulikani ingawa ameshiriki muvi nyingi sana maarufu ambazo ukiambiwa huwezi kuamini kama yupo kwenye muvi izo maana ulikuwa umjui mpaka pale alipocheza Undisputed kama adui boyka ndipo alipotambulika na kuanza kua casted kama starring

So huyo Iko Uwais kwa sasa yuko vizuri ndio maana unamkuta katika muvi za A class actors (Hollywood) kama Mark Wahlberg hiyo 22 Miles

Kuna actors wakubwa wa Asia ambao walikuwa wanatamani sana Hollywood lakini hawakufanikiwa hivyo jamaa ndio wakati wake huu
Hapana na uwezo binafsi unachangia kiasi kikubwa, jamaa yuko bomba Mimi naona hakuna MTU aside hangaika behind the scene mwangalie jack C, donie, the rocky, etc Scot naona alikua hajapata muvi kubwa za kumtoa kama ilivyo kwa Iko Uwais.

Kaangalie muvi moja Inaitwa Kuala Lumpur Gangsters (KL gangster) ya Malaysia.starling anapiga mkono hataree. Mwanzo nilikua najua ni Iko Uwais
 
Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
 
Hizo muvi zote nimezicheki mkuu ila legend of the first na ipman 2 in kiboko
 
Back
Top Bottom